Mkutano wa maji na tume ya mabadiliko ya katiba wafanyika TAMBARARE HALISI 11:39 AM News Katibu Mkuu wa Wizara ya maji, Mhandisi christopher Sayi (kulia) akimkabidhi Mhandisi wa maji wa mkoa wa Tabora, Muhibu Lubasa Mkataba wa makubaliano ya Utekelezaji wa Miradi ya maji vijijini katika Mkutano Mkuu wa Wahandisi wa maJi wa mikoa na wilaya kuhusu uekelezaji wa Miradi ya Maji Vijijini uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye hoteli ya naura Spring jijini Arusha. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus Kuhusu TAMBARARE HALISI This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel. RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment