Image
Image

MONROE KUTUA BONGO


Aliye wahi kuwa  mmoja wa wawakilishi wa Kenya katika BBA The Chase, mrembo Huddah Monroe (The Boss Lady) anatarajiwa kutua Dar es Salaam, Tanzania ku-host party ya “Mid Year Bash” siku ya jumamosi tarehe 29/june/2013.


BASH hilo litafanyika ndani ya ELEMENTS LOUNGE, na limedhaminiwa na Unity Entertainmen, Heinneken, na Vocacom.....

Watu wengi wanajiuliza itakuwaje pale watakapo kutana na Diva loveness ambae wamekuwa na beef kwenye mitandao wakimgombea Prezzooo...Aka the boy is Mine jaribu kujitokeza siku hiyo uone
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment