Image
Image

MWEMA AUNDA TUME YA KUFANYA UPELELEZI KUFUYATIA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA.


Mkuu wa jeshi la Polisi nchini Insepkta Jenerali Said Mwema ameunda timu inayoongozwa na makamishna wawili kutoka Operesheni na Idara ya Upelelezi makao makuu ya polisi kwenda Arusha kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye operesheni na Upelelezi kufuatia mlipuko kwenye mkutano wa chadema .
 
Insepkta Jenerali Said Mwema

Timu  hiyo inaongozwa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Paul Chagonja na kamishna Issaya Mngulu, kutoka Idara ya Upelelezi wa makosa ya jinai.


IGP Mwema amesema mlipuko huo wa bomu umesababisha vifo vya watu wawili na wengine sitini na mbili kujeruhiwa.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment