Rais obama akiwa mbele, hapo anakagua gwaride akiongozwa na Davies Mwamunyange ambaye ni amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Tanzania
|
Rais obama na Mkewe Michele wakiwa wameongozana wakati walipo wasili katika uwanja wa ndege leo, huku wengine wakiwa ni watoto wao wakiwa samba mbamba Kukamilisha Ziara
|
0 comments:
Post a Comment