Image
Image

KOCHA WA NIGERIA STEPHEN KESHI ADAI MALIPO YAKE YA MICHUANO YA AFRIKA.



Kocha wa Nigeria Stephen Keshi hajalipwa malipo yake tangu alipokuwa akikiongoza kikosi cha Super Eagles katika fainali za mataifa ya Afrika miezi mitano iliyopita.

Nahodha huiyo wa zamani wa Super Eagles hata hivyi imeelezwa kuwa bado hajalalamikia malipo hayo kiofisi.


Taarifa zaidi zinasema Nigerian Football Federation linafanya utaratibu wa kulimaliza na kwamba suala hilo liko ndani ya shirikisho la soka la Nigeria na timu ya kocha huyo na kwamba hakuna matatizo hiyo ikiwa ni kauli ya katibu wa NFF Musa Amadu.

Shirikisho hilo ambalo kwasasa linakabiliwa na matatizo makubwa ya kifedha pia linadaiwa na kocha msaidizi wa timu hiyo Daniel Amokachi na kocha wa makipa Ike Shorunmu.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment