Image
Image

SHABIKI ALIYEKUWA NA MAPENZI NA DROGBA ATIZA NDOTO YAKE.


Shabiki mmoja aliyekuwa na mapenzi na mchezaji Drogba ameonekana akiingia uwanjani kwa mbwembwe huku akiwa kajichora tatuu mgongoni iliyokuwa ikimuonyesha picha ya mchezaji huyo.

Shabiki huyo aliweza kuzama uwanjani hapo wakati wachezaji hao wakiwa wanapasha kabla ya mechi ya kirafiki, ambayo iliweza kuwasababishia kuibuka na magol 3- 0 baina ya shrewsury.


Hata hivyo mashabiki kibao wa Chelsea  walijitokeza kumpokea Didie Drogba, huku shabiki aliyekuwa kajichora tatuu iliyokuwa ikimuonyesha drogba kupokelewa vyema na mchezaji huyo bila mwenyewe kuamini kilichotokea na hatimaye kukumbatiana na kumshukuru drogba kwa kuonyesha mapenzi mema kwake, na kumtakia mafaniko katika soka kama star.  
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment