Image
Image

TAZAMA PICHA MBALI MBALI ZIKIMUONYESHA WAZIRI MKUU WA TANZANIA MIZENGO PINDA AKISHUHUDIA UPAKUAJI WA MABOMBA YA GESI KATIKA BANDARI YA MTWARA.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kwaajili  kuzindua uteremshaji wa mabomba ya gesi
kutoka kwenye meli kwenye bandari ya Mtwara,  Mabomba hayo yatatandikwa chini ya ardhi kusafisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar es salaam,  Kulia kwake ni Balozi wa China nchini, Dr. Lu na Kulia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini , Stephen Masela. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Hassan Kasuguru,nahodha alieingiza bandarini  Mtwara meli yenye mabomba ya gesi kutoka China wakati alipozindua upakuaji wa mabomba Hayo.


Wairi Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia (wapili kushoto) wakati alipozindua uteremshaji wa mabomba ya gesi kutoka kwenye meli kwenye bandari ya Mtwara,mabomba hayo yatatandikwa ardhini ili kuwezesha usafirishaji wa gesi kutoka Mtwara hadi Dar es salaam.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta jambo  na Balozi wa China nchini, Dr. Lu kabla ya kushuhudia upakuaji wa mabomba ya gesi kwenye bandari ya Mtwara , Mabomba hayo yatatandikwa ardhini ili kusafirisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar es salaam.

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment