Sakata la mshambuliaji wa Liverpool kutaka
kuhamia Arsenala limechukua sura mpya kufutia mshambuliaji huyo kufikiria
kukabidhi rasmi barua ya kuomba kuondoka klabuni hapo na ikishindikana kwenda
mahakamani iwapo timu hiyo itaendelea kumbania.
Chanzo kimoja kilicho
karibu na Suarez kimesema,yeye mwenyewe anaamini kiasi cha zaidi ya paundi
milioni 40 kilichotolewa na Arsena kinatosha kumruhusu kuhama kwa mujibu wa
mkataba wake.
Licha ya klabu ya
Liverpool kumng'anga'nia mshambuliaji wake huyo,yeye mwenyewe ameshamuambia
kocha wake Brendan Rodgers kuwa anataka kuhamia Arsenal.
Kwa upande wake kocha
wa Arsenal amesema,wanamtaka Suarez katika njia isiyokuwa na utata wowote,
0 comments:
Post a Comment