Image
Image

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MWANAMWEMA SHEIN, AZUNGUMZA NA NALOZI MDOGO WA CHINA.

 MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akizungumza na Balozi Mdogo wa China Zanzibar Balozi Chen Quiman, alipofika Ikulu Migombani kumuuga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Zanzibar.




MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimsikiliza Balozi wa Mdogo wa China Zanzibar Chen Quiman,akitowa maelezo ya picha aliomkabidhi Mama Mwanamwema Shein, alipofika kumuaga Ikulu Migombani.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment