Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii,Dkt.Hussein Mwinyi,akitoa hotuba yake jana Agosti 27-2013 ,wakati
wa kuwakabidhi vyeti vya uchukuaji wa sampuli kwa ajili ya uhakiki bora kwa
Maafisa kumi 10 Udhibiti Ubora wa bohari ya dawa,pamoja na kukabidhi cheti cha
ithibati kwa Bohari ya Madawa(MSD)hafla hiyo ilifanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli
ya Serena jijini Dar ea salaam.
Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii,Dkt.Hussein Mwinyi(kulia)akimkabidhi cheti Kaimu Mkurugenzi Mkuu
Bohari ya Dawa(MSD)Cosmas Mwaifwani, cha ithibati kwa Bohari ya Madawa(wakwanza
kushoto)Mwezeshaji kutoka(ACM)Andrew Rowe(watatu kulia)Mwenyekiti Bodi ya
Wadhamini(MSD).
Maafisa kumi 10 Udhibiti Ubora wa bohari
ya dawa,wakionesha vyeti vyao mara baada kukabidhiwa kwenye hafla hiyo
iliyofanyika kwe Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt.Hussein
Mwinyi(kushoto kwake)Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bohari ya Dawa(MSD)Cosmas
Mwaifwani,anaefuatia,Wina Shango Wizara ya Afya,na Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka
ya Dawa na chakula(TFDA)Hiiti Sillo,wakiwa kwenye hafla hiyo.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bohari ya Dawa(MSD)Cosmas
Mwaifwani,akiielezea ISO 900I viwango vya menejimenti ya mifumo ya
ubora(Quality Management Systems)wakati wa kuwakabidhi vyeti vya uchukuaji wa
sampuli kwa ajili ya uhakiki bora kwa Maafisa kumi 10 Udhibiti Ubora wa bohari
ya dawa,pamoja na kukabidhi cheti cha ithibati kwa Bohari ya Madawa(MSD)hafla
hiyo ilifanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar ea salaam.
0 comments:
Post a Comment