Pamoja na kuonywa na madaktari
kuwa urefu wa nywele zake unaweza kumsababishia tatizo la kupooza, Asha Mandela
amesema hawezi kuzikata.
Mama huyo mwenye mtoto mmoja
aishiye Atlanta, Georgia amesema: Nywele zangu zimekuwa sehemu yangu. Ni maisha
yangu. Sitozikata kamwe. Kuzikata itakuwa ni kama kujiua. Itakuwa ni sawa na
zombie.’
Mrs Mandela, 47, anashikilia
Guinness World Record kwa kuwa na rasta ndefu zaidi duniani zenye urefu wa futi
55.
Humchukua siku mbili kuziosha na
kuzikausha nywele zake. Mrs Mandela, ana mtoto mwenye miaka 11 aitwaye Zion
aliyezaa na mume wake wa pili, anasema nywele zake zimesaidia uhusiano wake na
mumewe.
Kwa sasa ameolewa na mume wa tatu na asili
yake ni Trinidad and Tobago. Alianza kuzitunza nywele hizo miaka 25 iliyopita






0 comments:
Post a Comment