Mkuu wa wilaya ya Urambo Bi.Anna Magoha Wakati wa uhai wake akionekana akisoma hotuba
kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Tabora katika sherehe za Mei Mosi Uwanja wa Ally Hassan
Mwinyi mwaka jana(Picha naMaktaba Yetu).
Serikali ya rais Jakaya Kikwete imepata pigo kubwa
baada ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Urambo Bi Anna Magoha kufariki dunia
dakika chache jioni jana.
Kwa taarifa za kuamikika kutoka kwa rafiki wa karibu
mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Moto kabati (CCM) ambazo mtandao huu umezipata kupitia www.francisgodwin.blogspot.com Zinadai kuwa mkuu huyo wa wilaya
amefariki jana jioni akiwa njiani kukimbiza Hospitali ya taifa ya Muhimbili.
Marehemu alikuwa ni mkazi wailaya ya Kilolo mkoa wa
Iringa
Habari kamili itaendelea kukujia.
Chanzo:http://www.matukiodaima.com/
0 comments:
Post a Comment