Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Taaluma za Sayansi ya
Afya,Dk.Haji Mwita,alipotembelea Dagfhalia ya Wanafuzi wa
Chuo hicho kabla ya kuzindua madarasa ya Chuo hicho leo huko Mbweni
nje ya Mji wa Unguja.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia
kama ishara ya uzinduzi wa jengo la madarasa ya Chuo cha Taaluma za
Sayansi ya Afya,lililogharamiwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa
ushirikiano na Serikali ya Oman,huko Mbweni Nje ya Mji wa Unguja
leo.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,na Mshauri wa Mambo ya Afya,Wizara ya Afya ya Oman,Dr.Sayeed
Sultan Bin Yarub Bin Qaatan Al- Busaid,wakikata utepe kama ishara ya ya
uzinduzi wa jengo la madarasa ya Chuo cha Taaluma za Sayansi ya
Afya,lililogharamiwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa ushirikiano na
Serikali ya Oman,huko Mbweni Nje ya Mji wa Unguja leo.
Baadhi
ya wanafunzi wa Chuo cha Taaluma za Sayansi ya Afya,wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa
nasaha zake,baada ya kuyazindua rasmi madarasa ya chuo hicho leo ,hapo
chuoni Mbweni,Mkoa wa Mjini Mgharabi Nje ya Mji wa Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea risala ya Chuo cha Taaluma za
Sayansi ya Afya,kutoka kwa Mkuu wa Chuo hicho Dk. Haji Mwita,baada ya
kuyazindua Rasmi madarasa ya Kusomea,yaliyojengwa kwa ufadhili wa Serikali
ya Oman,na ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Mshauri
wa Mambo ya Afya,Wizara ya Afya ya Oman,Dr.Sayeed Sultan Bin Yarub Bin
Qaatan Al- Busaid,akitoa salamuzake wakati wa sherehe za uzinduzi wa madarasa
mapya ya kusomea katika Chuo cha Taaluma za Sayansi ya Afya,yaliyojengwa
na Serikali ya Oman,na ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar.(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.)
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akitoa hutuba yake kwaWananchi na wanafunzi (hawapo pichani)
wakati wa Sherehe za Uzinduzi wa jengo la madarasa ya Chuo cha
Taaluma za Sayansi ya Afya,lililogharamiwa na Serikali ya Oman kwa
kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,huko Mbweni Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja leo,(kushoto) Waziri wa Afya Juma Duni Haji,na Mshauri wa
Mambo ya Afya,Wizara ya Afya ya Oman,Dr.Sayeed Sultan Bin Yarub Bin Qaatan
Al- Busaid,(kulia).
0 comments:
Post a Comment