Wabunge wa Chadema wakiwa wamesimama kukaidi amri ya Naibu
spika, Job Ndugai ya kuwataka wakae chini .
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aakiwa ameng'ang'ania
Migrophone ya sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi
walipokuwa wakimtoa Bungeni Mjini Dodoma leo. hata hivyo
Microphone hiyo iling'oka na polisi wakafaikiwa kumtoa nje.
Microphone hiyo iling'oka na polisi
wakafaikiwa kumtoa nje.
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akitolewa
na Askari Polisi nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana.
Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiongoza
wabunge wa CHADEMA kutoka Bungeni mjini Dododma baada ya kuamriwa kufanya
hivyo na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai.
Mbunge wa Mbeya Mjini akizuiwa na wabunge wa CHADEMA
ili asiambane na polisi, Bungeni Mjini Dodoma jana.
Kwa Hisani ya Michuzi Blog
0 comments:
Post a Comment