Aliyejidai kuwa
ni Daktari katika hosptali ya KCMC(Daktari Feki) aliyetambulika kwa jina
la Alex Massawe akiwa amefungwa pingu mikononi mwake katika eneo la
hosptali hiyo.
Daktari Feki Masawe akisindikizwa na baadhi ya wafanyakazi wa hosptali ya KCMC kutoka katika moja ya wodi ambayo alikuwa 'akihudumia.
Daktari feki akiwa
katika gari la polisi tayari kupelekwa kituo cha polisi ili hatua za kisheria
zichukuliwe
.
PICHA NA MICHUZI BLOG.
0 comments:
Post a Comment