Image
Image

MLINZI KIBARUA CHAOTA NYASI BAADA YA KULALA WAKATI AKILINDA HUKO TANGA.

Mlinzi huyu mwenye usngizi wa siku 3 ilimlazimu kulala kupooza machungu, lakini kufika za mwizi kama waswahili wanavyosema bac bosi ndipo akamnasa na Kibarua kuota nyasi.


Mlinzi huyu mwenye usngizi wa siku 3 ilimlazimu kulala kupooza machungu baada ya kukaasiku 3 macho akilinda, lakini kufika za mwizi kama waswahili wanavyosema kuwa ni 40 bac bosi ndipo akamnasa na Kibarua kuota nyasi pembeni ana rungu yake inayo ng"aa huku akiwa kapakata radio yake..

               Mwe wacha nilale mie kauchingichi katamuuu.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment