Naibu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo ambaye pia ni Mbunge wa
Jimbo la Songwe mkoani Mbeya ameahidi kitita cha sh. milioni mbili iwapo timu
ya Mbeya City itaibuka na ushindi dhidi ya timu ya Yanga ya Jijini Dar es salaam.
Waziri Mulugo
akizungumza na waandishi wa habari jijini Mbeya akiwa anawapa morali kuwa atahakikisha kuwa kila
timu itakayotia mguu mbeya inaondoka na kipigo cha magoli.
Hawa ndio Wachezazi halali wa Mbeya city wakiwa wanaonekana hapo .
Wachezazi
wa Mbeya city.
Timu ya
yanga ikiwa kwenye kiwanja cha iyunga sekondari
0 comments:
Post a Comment