Ashabaraka Baraka akizungumza jambo
katika kutambulisha onyesho maalum la Gurumo 53 litakalofanyika octoba 11katika
ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es Salaam, kwa upande wa kushoto ni mzee
muhidini gurumo, Juma Mbizo, Cosmas Chidumule na Saidi Kibiriti.
Juma mbizo ambaye ndiye mratibu wa shoo
hiyo akionekana akionyesha mfano wa moja ya CD itakayouzwa siku hiyo, ikiwa
nisehemu moja wapo yakutambua na kuelewa namna mwanamuziki Muhidini Gurumo,
Baada ya kutangaza kustaafu muziki kwa takribani miaka 50.
Mdau wa Muziki Nchini Deo Mutata
Mwanatanga , Akiwa makini kufuatilia jambo wakati wa kuitambulisha shoo ya
Gurumo53.

0 comments:
Post a Comment