Image
Image

DIMPOZ KAZALIWA UPYA




             Dimpoz akiwa katika sehemu zake zakujidai.
                 Dimpoz akiwa katika sehemu zake zakujidai.

             Dimpoz akiwa katika sehemu zake zakujidai
Na. Thomson Phiri,Dar es Salaam.
Omari Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz ni msaani wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania maarufu kama Bongo Fleva, ambaye kwa kipindi hiki ni moja kati ya wasanii wanaovuma sana hasa kupitia nyimbo zake kama Me&You akimshirikisha Vanessa Mdee, na Tupogo akimshirikisha J.Martins.
Ommy Dimpoz ni jina ambalo lilianza kupata umaarufu miaka miwili iliyopita lakini kwa sasa limezagaa kila sehemu!
Mbali nakuachia ngoma nyingi zakuburudisha Ommy pia ni mwanamitindo na anawo mtindo ambao aliuanzisha yeye mwenyewe.

Hapo awali alikuwa mshiriki mkubwa wa kikundi cha WASAFI pamoja na Diamond Platinumz, lakini kwa sasa Ommy amejikita sana katika miondoko ya Solo ikiwa na ladha ya kimjinimjini ambayo wengi tunaipenda.

Sio tu katika matanuzi na mitindo, pia ni mkali sana awapo jukwaani.

Leo hii Ommy Dimpoz anasheherekea siku yake yakuzaliwa na sherehe zitafanyika jumapili katika klabu ya Billicanas jijini Dar es Salaam.


Happy Birthday Ommy Dimpoz
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment