Kwa mara nyingine Zanzibar imeshuhudia tukio la kumwagiwa
tindikali ambapo watu wasiojulikana wamemwagia tindikali Padri wa Kanisa
Katoliki Parokia ya Mpendae,Padri Anselmo Mwan'gamba na kumjeruhi sehemu ya uso
na mwilini.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment