Hii ndio nyumba ya kulee kijijini ulichotoka.
Haka ni
kale kachoo ketu bana kaenzi zile, Leo hii tumejisahau kutumia haka kachoo haki
ya mungu ndio maisha kumbukeni.
Vipi umeona kalivyo
pasuka kakibanda haka, je tunakumbuka kweli kwenda kijijini kukatengeneza ama
ndio mujini tupo tuuuuuuu, Tutafakari na hatua tuchukue?
0 comments:
Post a Comment