Mgeni
rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Terezya Huvisa
akizungumza na wakazi wa Gongo la Mboto wakati alipotembelea na kukagua kiwanda
cha kuchambua taka (KIKUTA) kilichopo Gongo la Mboto jijini Dar.
Diwani
wa Kata ya Gongo la Mboto ambaye pia ni Mstahiki Meya wa Halmashauri ya
Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akimlaki mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Terezya Huvisa alipowasili kukagua kiwanda kipya
na cha kwanza nchini Tanzania cha kuchambua taka (KIKUTA) kilichopo Gongo la
Mboto jijini Dar.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Terezya Huvisa akisalimiana na
baadhi ya wakazi wa Gongo la Mboto mara baada ya kuwasili kiwanda cha KIKUTA.
Diwani
wa Kata ya Gongo la Mboto ambaye pia ni Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya
Ilala Jerry Silaa akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Mazingira Dkt. Terezya Huvisa wakati wa halfa hiyo. Kulia ni Mwenyekiti wa
Serikali ya Mtaa wa Gongo la Mboto Bw. Moshi Mwaluko.
Diwani
wa Kata ya Gongo la Mboto ambaye pia ni Mstahiki Meya wa Halmashauri ya
Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Terezya Huvisa kuznugmza na
wakazi wa Kata ya Gongo la Mboto.
Ofisa
Mtendaji wa Kata ya Gongo la Mboto Bw. Alphonce Msenduki (kushoto) akisoma taarifa ya
kiwanda cha kuchambua taka (KIKUTA) mbele ya mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi
ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Terezya Huvisa alipotembelea kiwandani hapo
kukagua juhudi zinazofanywa na Manispaa ya Ilalaa na ( kulia) .Bi Marietha Msembele mpiga picha na mwandishi wa habari wa Channel 10
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Terezya Huvisa (katikati)
akielekea kukagua kiwanda hicho akiwa amembatana na Diwani wa Kata ya Gongo la
Mboto ambaye pia ni Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa
(kushoto) pamoja na Afisa Usafishaji wa Manispaa ya Ilala Bw. Samuel Bubegwa
(kulia).
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Terezya Huvisa akipata maelezo
kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi kiwanda hapo namna wanavyotengeza Mbolea kwa
kutumia taka zilizooza.
0 comments:
Post a Comment