Zaidi ya siku
40 zilizopita Wasyria 3,300 wakiwemo watoto 230 waliokuwa peke yao wamewasili
pwani ya Sicily na wengine 670waliwasili wiki iliyopita.
Zaidi ya boti 30 zimehusika kuwasafirisha watu hao ,
wengi wakitokea Misri , ingawa wengine walianzia safari yao Uturuki. Adrian Edwards
ni msemaji wa UNHCR.
UNHCR inakadiria kuwa zaidi ya Wasyria 4,600 Syrians
wamewasili Italia kwa njia ya bahari tangu mwanzoni mwa mwaka 2013 na theluthi
mbili ya watu hao wamewasili mwezi Agost pekee.
0 comments:
Post a Comment