Wateja wa Airtel
Tanzania wakipatiwa huduma katika ofisi ya Airtel Tanzania iliyopo Moroko
jijini Dar es Salaam.
Afisa Huduma kwa Wateja,
Deogratius Hugo akiongea machache wakati wa
uzinduzi wa maadhimisho ya wiki wa
Wateja yaliyofanyika katika ofisi za
Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa
Airtel Tanzania wakiwa wameshikana mikono kuonyesha
mshikamano wakati wa
maadhimisho ya wiki ya huduma kwa Mteja.
Mkurugenzi wa Huduma
kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba (wa pili
kulia) akiwa ameungana na
wateja wa Airtel Tanzania kukata keki ya
maadhimisho ya wiki ya Wateja
yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao
Makuu jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa
Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba akimlisha
mmoja wa wateja wake ambaye aliungana na Aitel Tanzania katika maadhimisho
ya Huduma kwa Mteja, Kulia ni Afisa huduma kwa wateja
Deogratius Hugo.
Mkurugenzi wa Huduma
kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba
akimlisha mmoja wa wateja wake ambaye
aliungana na Aitel Tanzania katika
maadhimisho ya Huduma kwa Mteja, Kulia kwake ni Mfanyakazi wa
Airtel Tanzania Angestina.
0 comments:
Post a Comment