'Linah', juzikati aliamua kuvunja ukimya mbele ya kadamnasi baada ya kuziweka
wazi pete za uchumba alizodai kuvishwa na mtu mwenye mtonyo wake mnene hapa
Bongo, wakati akipigwa picha hizi Linah alidai kuwa hana jinsi ya kuendelea
kujificha tena kwani umri wake umeshafikia hatua ya kuolewa.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment