Image
Image

MAOFISA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WATEMMBELEA KIWANDA CHA BIA NCHINI TANZANIA (TBL)

 Mtaalamu wa Upishi wa Bia wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Nkya  (kulia) akielezea jinsi bia inavyopikwa kwa njia ya kisasa  wakati maofisa wa kikosi cha polisi cha usalama barabarani, walipotembelea kiwanda cha kampuni hiyo, Dar es Salaam juzi kujua utendaji wake. TBL hivi karibuni ilidhamini maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yaliyomalizika hivi karibuni.

 Mtaalamu wa Upishi wa Bia wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Nkya  (kulia) akitoa maelezo kuhusu utendaji wa kiwanda cha bia cha Dar es Salaam,wakati maofisa wa kikosi cha polisi cha usalama barabarani, walipotembelea kiwanda cha kampuni hiyo, Dar es Salaam juzi. TBL ilidhamini maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yaliyomalizika hivi karibuni

  Editha Mushi akitoa maelezo kwa baadhi ya maofisa


 Nkya akitoa maelezo kuhusu utendaji wa kiwanda cha Bia cha Dar es Salaam.
 Maofisa wakitembezwa katika moja ya idara ya utengenezaji bia.
 Maofisa wakitembezwa katika moja ya idara ya utengenezaji bia.
 Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi, Ibrahim Mwamakula (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo, wakati maofisa wa kikosi cha polisi cha usalama barabarani, walipotembelea kiwanda cha kampunihiyo, Dar es Salaam kujua utendaji wake. TBL hivi karibuni ilidhamini maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yaliyomalizika hivi karibuni.
 Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, Mrakibu wa Polisi, Meloe Buzema akipokea zawadi kutoka kwa Kilindo.

Maofisa wa Kikosi cha Usalama Barabarani wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa TBL, baada ya kumaliza ziara.PICHA JAPHARI JUMA.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment