Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua
rasmi Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na kuzindua rasmi Kampeni ya Nyota
ya Kijani, wakati wa mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City,
jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akibonyeza kitufye cha Laptop kuashiria
kufungua rasmi Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na kuzindua rasmi Kampeni
ya Nyota ya Kijani, wakati wa mkutano huo uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa
Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jambii, Dkt. Hussein Mwinyi.
Sehemu ya washiriki wa mkutano huo
wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, wakati akiwahutubia kwenye Mkutano
huo.
Sehemu ya washiriki wa
mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, wakati akiwahutubia
kwenye Mkutano huo.
Mwenyekiti wa TACAIDS,
Fatma Mrisho, akizungumza wakati wa mkutano huo.
Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Balozi wa
Marie Stops Tanzania, Narietha Boniface, na Miss Tanzania 2013, wakati
alipotembelea katika Mabanda la maonyesho la Marie Stops, alipokuwa akitembelea
mabanda ya maonyesho kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na Uzinduzi
wa Kampeni ya Nyota ya Kijani, uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mliman City,
Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa TACAIDS,
Fatma Mrisho, akizungumza wakati wa mkutano huo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,
Dkt. Hussein Mwinyi, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi,
Makamu wa Rais, kuhutubia kwenye mkutano huo.
Sehemu ya washiriki wa mkutano huo
wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, wakati akiwahutubia kwenye Mkutano
huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo wakati alipotembelea
kwenye Banda la maonyesho la PSI, wakati alipotembelea katika Banda hilo la
maonyesho katika Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na Uzinduzi wa Kampeni
ya Nyota ya Kijani, uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mliman City, Dar es
Salaam.
Sehemu ya washiriki wa mkutano huo
wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, wakati akiwahutubia kwenye Mkutano
huo.
Msanii Mrisho Mpoto, akitoa burudani
yenye ujumbe wa Uzazi wa Mpango mbele ya mgeni rasmi wakati wa mkutano huo
uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mliman City Dar es Salaam, leo.
Msanii Mrisho Mpoto, akitoa burudani
yenye ujumbe wa Uzazi wa Mpango mbele ya mgeni rasmi wakati wa mkutano huo
uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mliman City Dar es Salaam, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
viongozi nawaratibu wa Mkutano huo mara baada ya ufunguzi rasmi.

0 comments:
Post a Comment