Ripoti hiyo imekadiria kuwa ongezeko la uchumi wa dunia litakuwa
asilimia 2.9 mwaka huu ambalo litakuwa limepungua kwa asilimia 0.3 kuliko lile
lililokadiriwa mwezi Julai, na mwakani litakuwa asilimia 3.6 ambalo litapungua
kwa asilimia 0.2 kuliko lililokadiriwa awali.
Ripoti hiyo inasema njia ya
ongezeko la uchumi wa dunia inabadilika, makundi ya uchumi yaliyoendelea
yanapata ongezeko kubwa zaidi, lakini makundi mapya ya uchumi yanakabiliwa na
changamoto za kupungua kwa ongezeko la uchumi na kudidimia kwa soko la fedha
duniani.
0 comments:
Post a Comment