Image
Image

NYERERE: SERIKALI CORRUPT HAIKUSANYI KODI.




TAMBARARE HALISI INAWATAKIA SHEREHE NJEMA ZA KUMBU KUMBU YA MWL NYERERE
Nazungumza habari za kutokusanya kodi. Kutokusanya kodi ni sifa moja ya viserikali corrupt popote pale.

Popote, wala usifikiri ni Tanzania peke yake, au Kenya peke yake... Italy pale. Italy, serikali iliyotoka hii wana mzigo wa madeni.

Serikali corrupt popote pale, haitozi kodi. Serikali corrupt inatumwa na wenye mali.

 Inawafanyia kazi wenye mali. Serikali corrupt itamwambiaje mwenye mali, kwamba “utalipa, uspolipa utakiona!" Atacheka tu huyu. Atakwambia “unaniambia hivyo wewe? kesho siji basi!”

Serikali corrupt haikusanyi kodi. Itabaki kufukuzana fukuzana na vijitu vidogo vidogo mabarabarani hivi basi.


Nukuu ya sehemu ya alichokisema hayati Mwl. Julius K. Nyerere, Yachini hapo ni Hotuba nzima, Bofya Hspo Usikilize.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment