Mkuu wa kituo cha Afya cha Mkokotoni
Mcha Haji Makame akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud
Thabit Kombo (alievaa miwani) alipofanya ziara ya kutembelea vituo vya afya vya
Wilaya Kaskazini A. Wa kwanza (kushoto) mwakilishi wa WHO Zanzibar Dkt.
Andymicheel Ghirmany akifuatiwa na mwakilishi wa UNICEF Zanzibar Bibi
Fransisca. Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Mkuu wa kituo cha Afya Mkokotoni
akiwaonyesha wawakilishi wa UNICEF Bibi Fransisca na mwenzake wa WHO Ghirmany
jiko la kuchoma takataka za Hospitali hiyo. Picha zote na Makame
Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Wawakilishi wa UNICEF na WHO wakiangalia
takwimu za wagonjwa waliopata matibabu katika Hospitali kuu ya Wilaya kwa
kipindi cha miezi 11 kunzia Januari walipofanya ziara na Naibu Waziri wa Afya
Mahmoud Thabit Kombo Wilaya ya Kaskazini A Unguja. Picha zote na Makame
Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Daktari wa
Hospitali ya Kivunge Khamis Hamad akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Afya
Mahmoud Thabit Kombo na ujumbe aliofuatana nao walipofanya ziara kuangalia utendaji
wa kazi na kujitambulisha.
0 comments:
Post a Comment