Kiwanda kidogo katika mji
mdogo wa Javanese nchini Indonesia kimekuwa kikiuwa mamia ya nyoka katika kufanyabiashara
ya kuuza bidhaa zinazotengenezwa kwa ngozi ya nyoka.
Katika kijiji cha Kapetakan, nyoka wamekuwa
wakiuwawa katika kujaribu kukata kiu ya soko kubwa la mabegi ya ngozi ya nyoka,
mikanda na viatu lililopo katika nchi za Magharibi.
Baada ya kuuwawa nyoka hao, ngozi zao
huuzwa kwenye viwanda vya magharibi na katika mkoa wa Java, kila mwezi.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment