Waziri
wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya kufunga kongamano la Kimataifa la
siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akisaini Azimio
la Arusha kwa niaba ya Serikali ya Tanzania ambalo lilipitishwa wakati wa
kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba
15-17, 2014 jijini Arusha.
Katibu Mkuu Wazara ya Fedha Dkt. Servacius
Likwelile akisoma Azimio la Arusha linalohusu Kinga ya Jamii, alisema kuwa
historia imejirudia ambapo yapata miaka 47 (1967-2014) iliyopita Tanzania
ilipitisha Azimio la Arusha lililolenga kupambana na maadui watatu ambao ni
ujinga, maradhi na umaskini ambao Baba wa Taifa Mwl. Julius Kmbarage Nyerere aliwaita
ni maadui wa taifa.
Muwakilishi wa UNICEF nchini Dkt. Jama Gulaid
akitoa neno la shukrani wakati wa kufunga kongamano la Kimataifa la siku tatu
kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha na aliisifu
na kuipongeza Tanzania kwa kuwa na wimbo wa taifa unaozungumzia watu akiwataja
kuwa ni wanawake, wanaume na watoto pamoja na bara la Afrika na watu wake.
Naibu
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamaii Dkt. Steven Kebwe akisistiza jambo wakati wa
kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba
15-17, 2014 jijini Arusha.
Katibu
Mkuu Wizara ya Kazi, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na Huduma Ali N. Ismail
(kushoto) kutoka Kenya akifuatilia mada wakati wa kongamano la Kimataifa la
siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.
Naibu
Waziri wa Fedha Adam Malima akisistiza jambo wakati wa kongamano la Kimataifa
la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini
Arusha.
Waziri
wa Fedha Saada Mkuya Salum (wa kwanza kulia) akifuatilia mada wakati kongamano
la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014
jijini Arusha. Kushoto ni Valentina Barca kutoka Oxford.
Waziri
wa Elimu na Mfunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto) akiteta jambo na
Katibu Mkuu Wazara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kulia) mara baada ya
kumalizika kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza
Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa kwenye
picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali ya Tanzania na washiriki wa
kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba
15-17, 2014 jijini Arusha akionesha nakala ya Azimio la Arusha alilosaini kwa
niaba ya Serikali.
0 comments:
Post a Comment