Profesa Anna Tibaijuka
Waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi
Profesa Anna Tibaijuka amesema hatajiuzulu wala hana mpango wa kujiuzulu mpaka
vyombo vinavyoendelea na uchunguzi kuhusu sakata la uchotwaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow
itakapobainisha kama anahatia na anapaswa kuwajibika ndipo atakapo wajibika.
0 comments:
Post a Comment