Image
Image

DKT.Shein aondoa gharama za kuchangia Elimu za msingi na sekondari asema nibure.




Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dr Ali Mohamed Shein ametangaza kuondoa gharama zote za kuchangia  elimu za msingi na sekondari  na sasa huduma hizo zitatolewa Bure.
 
Dr. Shein ametoa kauli hiyo  katika kilele cha maadhimisho ya kushehrehekea  miaka 51 ya mapinduzi ya zanzibar shereheambazo zilifanyika uwnaja wa amani na kuhudhuriwa na mamaia ya waannchi na viongozi wakuu wote wa Serikali ya Muungano wa Tanzania Na Zanzibar,viongozi wastaafu  wakiongozwa na Rais wa Jamhuri Dr.Jakaya Kikwete,ambapo amemsmea serikali ndiyo sasa itakayobeba jukumu la kulipia gharama hizo  huku akisema huo ni uamuzi  sio mpya ila uliotolewa na muasisi wa mapinduyzi marehemu abeid amani akrume. 

Dr. Shein ambaye kabla yahotubayake  alipokea mandaamano makubwa ya wananchi wa mikoa mitano yaznaizbar ,wafanyakazi wa smt na smz na taasisi za kiserikali na binafsi na wnafunzi wa vyuo mbali mbali vya znazibar pia alielezea  hali ya uchumi wa zanzibar ambapo amemsmea kiwngo hicho cha uchumi kianidi kuongezeka kila mwaka samba,mba na pato la seriklai  hivyo amesisitiza utendaji  na ufanisi wa seriklai aktika kuwatumikia wnanchi.
 
Mapema makamo wa pili wa rais balozi seif ali iddi akitoa tathmni yasherehe hizo amemsmea jumla  yamiradi  50iemzinduliwa yenye thamni zaiid yashilingi milioni 165. Napamekuwepo .
 
Sherhe hizo zilizokuwa zaaina yake  ambapo rais shein  mara alipowasili alipogiwa miizinga 21 na kukagua gwaride  la vikosi vya ulinzi na uslama vya jamhuri ya mungano na badaye  kulipokea gwaride la vikosi hivyo  viliyongozwa na  lt kanali adam ambayo vilipita  kwa mwendo wa pole pole na badaye kupita kwamwendo wa kasi  na badaye  ki;ipitakikosi cha makomandoo wa vita...weaka cutsza kukagua gwaride na weka file cuts kikosicha vita.
Sherehe hizo za kutimiza miaka 51 zialinza usiku wa kuamkia jumatatu ambapo makamu wa pili wa rais balozi seifali iddi aliongoza mamia yawaananchi katika viwanja vya maisara ambapo fash fash  zilirushwa na kuwepo kwa fataki zilizotanda usiku huo.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment