Rais Kikwete akisalimiana Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, a.k.a "Mzee Rukhsa"
JK akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad.
JK akisalimiana na Mama Fatma Karume, mjane wa Rais
wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume.
JK akisaliamiana na Rais Mstaafu wa Serikali ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin Mkapa, "Mzee wa uwazi na
Ukweli"
JK na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali
Davis Mwamunyange.
0 comments:
Post a Comment