Kanisa katoliki jana limeshindwa kujaribu
kutafuta upatanishi wa mgogoro wa mishahara ya walimu uliopelekea mgomo
uliodumaza kabisa masomo katika shule zote za umma nchini Kenya kwa wiki ya
pili sasa tangu uanze.
Majadiliano hayo yaliyoongozwa na Askofu Maurice Crowley, ambaye ni msimamizi wa Elimu wa Kanisa Katoliki, yaliyofanyika Jijini Nairobi yalikuwa yakitarajiwa kumaliza mgomo huo, ulioathiri shule za umma nchi nzima, yalikwama baada ya viongozi wa vyama vya walimukutoka nje.

Walimu nchini Kenya walianza mgomo wao, jumatatu iliyopita baada ya kudai mazungumzo yao na Tume ya Huduma za Walimu yaliyoanza mwaka jana yamekwama.
0 comments:
Post a Comment