Watu wanaosadikiwa majambazi wamevamia kituo cha polisi cha
Ikwiriri. Rufiji Mkoani Pwani na kuwaua askari wawili.
Katika tukio hilo la kuamkia usiku wa leo Kamanda wa Mkoa wa Pwani
Bwana MURICH MATEI pia amesema watuhumiwa hao pia walipora silaha tano zikiwemo
bunduki aina ya SMG mbili na shotgun moj.
Shambulio hilo pia lilihusisha kitu chenye mlipuko mithili ya bomu
na wanasubiri wataalamu kwenda kutambua ni aina gani ya bomu au limetengenezwa
na kitu gani au ni mchanganyiko tu wa kemikali ndiyo ulifanya utokee pia
mlipuko huo.
Amesema wataalamu hao pia watachunhuza silaha na risasi
zilizopigwa na watuhumiwa.
0 comments:
Post a Comment