Muuguzi wa Zamu katika Hopitali kuu ya
Mnazi Mmoja wodi ya Watoto Bibi Mary Jadi akimuelezea Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar balozi Seif msongamano wa watoto wanaoungua moto ambao hulazimika
kulazwa wagonjwa watatu kwa kitgand kimoja.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole Mtoto mgonjwa Nasrya Kombo aliyelazwa
Hospitali kuu ya Mnazi mmoja baada ya kuungua kiwa moto.Pembeni ya Balozi Seif
ni Muuguzi wa Zamu katika Hopitali kuu ya Mnazi Mmoja wodi ya Watoto Bibi Mary
Jadi
Balozi Seif akimpa pole Bibi Wanu Rajab aliyelazwa Hospital Kuu ya Mnazi
mmoja yeye na Mtoto wake baada ya kibanda wanachoishi katika shughuli za Kilimo
kuwaka moto katika Kijiji cha Kirombero. (Picha na Hassan Issa wa – OMPR –
ZNZ.).
0 comments:
Post a Comment