Watu 56 akiwemo mtoto
mdogo wamekufa kaskazini magharibi mwa Msumbiji kutokana na sumu iliyowekwa
kwenye pombe ya kienyeji ijulikanayo kama 'phombe'. Mkurugenzi wa Afya
katika Mkoa wa tete Carla Mosse, ameiambia redio Mocambique watu 39 bado
wamelazwa hospitali hii leo, baada ya kupata madhara ya pombe hiyo iliyokuwa na
sumu.
Wahanga wote wa tukio
hilo akiwemo mtoto wa miaka miwili, walishiriki maziko siku ya Ijumaa asubuhi,
na kisha kunywa pombe ya kienyeji inayotengenezwa kwa kutumia mbegu za mtama.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment