Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini Tanzania
TAKUKURU yaendelea na operesheni yake ya kuwaburuza watuhumiwa wa Kashfa ya
uchotwaji fedha akaunti ya Tegeta Escrow katika mahakama ya kisutu ambapo
watuhumiwa wengine watatu leo hii wameburuzwa Mahakamani na hivyo kufikia idadi
ya watuhumiwa watano hadi sasa baada ya juzi kuburuzwa wengine wawili kufuatia
kashfa hiyo ya Escrow jijini Dar es Salaam.Endelea kutufuatilia punde nitakuletea mkasa mzimaa wa sakata hili
Home
News
Watuhumiwa watatu wanaokabiliwa na kashfa ya uchotwaji fedha akaunti ya Tegeta Escrow waburuzwa mahakamani na TAKUKURU.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment