Mwakilishi wa jimbo la Magomeni Mheshimiwa Salmin Awadh amefariki ghafla akiwa kwenye kikao cha CCM Zanzibar.
Mh.Salmin pia alikuwa ni mnadhimu mkuu wa baraza la mapinduzi na mjumbe wa kamati kuu wa chama cha mapinduzi.
Home
News
Breaking News: Mwakilishi jimbo la magomeni kupitia CCM Salmini afariki dunia ghafla akiwa kwenye mkutano Zanzibar
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment