Baraza la maadili ya
utumishi wa umma limeshindwa kumuhoji
Mbunge wa bariadi
Magharibi (CCM)
Mh Endrew Chenge baada kuwasilisha zuio
la mahakama kuu lililozua kutokuendelea kujadili miamala ya Escrow huku
wanasheria wa sekretarieti ya baraza hilo wakipingana naye kwa madai kuwa wao
wanajadili ukiukwaji wa maadili na siyo miamala ya Escrow.
Kufuatia
hali hiyo mwenyekiti wa baraza jaji mstaafu hamisi msumi ameahirisha sula hilo
hadi feb 26 mwaka huu ili wajumbe wapate muda wa kusoma zuio hilo kujua kama
baraza linaweza kuendelea na mahojiano au la.
Source:ITV
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment