Na.Msaka Noti Manoti - Dar es Salaam
Mwanamuziki
wa bongo fleva nchini Tanzania Daz baba
au Dazi mwalimu amesema kuwa ameshangazwa na uvumi
ambao ulisambaa kwamba yeye ni mgonjwa na na anaomba msaada jambo ambalo
amesema sio kweli.
“Mwenyewe
ni meshangaa taarifa hizo
mimi nipo na wanangu tumechili tuna sikia taarifa hizo sasa hata sielewi
pengine labda kuna mbaya wangu ambaye alitaka kuniharibia.
Mapema leo April 5/2015 amefunguka kupitia moja ya Show ya XXL
Clouds Fm wakati alipokuwa akifanyiwa
Interview juu ya sanaa na mwenendo wa muziki akiwa kama mwanamuziki wa Kitambo
sana huku waki Review ngoma zake kadhaa ambazo zimefanya poa tokea time.
Daz baba
anasema kuwa watu walishtuka mno kuona picha ile haswa mashabiki wangu kwakuwa
mimi ni rasta siwezi kutumia madawa nikachoka kiasi hicho mpaka kuomba msaada
na wala situmii dawa za kulevya.
“Niseme
tu kwamba stori hizi ni uzushi mtupu kwani picha walio piga ni washkaji wa
Morogoro na walifanya hivyo kwa nia na madhumuni ya kuniharibia na inaonyesha
wametumwa ili kuharibu
maisha yangu ya saana ya Muziki cha msingi mashanbiki wangu wayapuuze tu hayana
ukweli”amesema Daz .
Dj Fety.Nikitu gani watu wanakuwa wanasema wewe unavuta unga na
wewe unasema huvuti?.
“Mimi
sivuti unga ila kinachopelekea hivyo ni namna ninavyo jichanganya na watu tofauti ila sijawahi kuvuta bangi
mimi ni Rasta far"Daz Baba.
B12 imekuharibia vipi kwa jamii?
“Ni
kweli ina haribu sana na haipendezi kwa hilo bangi na vuta ila kama Dawa mi Ras
siunajua sijawahi kutumia hata kidogo unakuta labda nimekunywa nime sizewabaya
wangu wanapiga picha wanatuma ili wanafaike kwa mgongo wangu”Daz Baba.
Daz
ameendelea kufunguka
na kusema kuwa analaani kwanza kutumia Dawa za kulevya kwakuwa pia anaishi kwa
misingi ya familia yake na watanzania kama ikiwa ni kioo kinacho mmulika,ambapo
katika nyimbo zake wimbo wake wa usihukumu kauzungumzia vizuri ila watu wana mhukumu kuwa anatumia
Dawa,amesema maisha anayoishi hapendi kujikweza anaishi maisha ya kawaida sawa
na wengine.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment