Mwaka wa ajali unaendelea kugharimu maisha ya watu ambapo sikuzahivi karibuni zimetokea ajali zaidi ya nne huku zingine zikipoteza maisha ya watu hamsini ambapo ajali nyingine imetokea huku Basi la Sharoon linalofanya safari zake Arusha - Dodoma limeacha njia na kuanguka eneo la Kisongo, Arusha Asubuhi ya leo.
Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha ila watu
wamejeruhiwa tu.
0 comments:
Post a Comment