Image
Image

Idadi ya wateja wanaotumia gesi wameongezeka baada ya kushuka kwa bei


Idadi ya watu wanaotumia gesi jijini DSM imeongezeka baada ya bei ya bidhaa hiyo kushuka.
Wafanyabiashara warejareja wamesema mauzo ya bidhaa pia yameongezeka kutoka wastani wa mitungi 10 kwa siku hadi mitungi 30 hivi sasa.
Bei ya gesi imeshuka kwa wastani asilimia 14 ambapo mtungi wa kilo sita umeshuka kutoka shilingi 21500 hadi shilingi 18500, mtungi wa kilo 15 umeshuka kutoka shilingi 54000 hadi shilingi 47,000 na mtungi wa kilo 38 umeshuka kutoka shilingi 115,00 hadi shilingi elfu 85.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment