Kutokana na hali hiyo wateja wamepungua na wauzaji wa jumla wamejikuta wanauza kati ya tenga 5 na 20 kwa siku tofauti na hapo awali ambapo walikuwa wakiuza kati ya tenga 50 na 200.
Wafanyabiashara wamesema bei ya tenga moja la mashelisheli imeshuka na kuuzwa kwa shilingi 16,000 badala ya bei ya kati ya shilingi 25,000 na shilingi 30,000 ilivyokuwa hapo awali
0 comments:
Post a Comment