Ndege ya kwanza isiyotumia mafuta, imeruka kutoka mjini ABUDHABI, SAUDI
ARABIA, ikianza safari ya kuzunguka dunia kupitia bahari ya ATLANTIKI.
Marubani wanaorusha ndege hiyo inayotumia mwanga wa jua, ambao ni
raia wa USWIZI, wanasema wanataka kuithibitishia dunia kuwa ndege
inaweza kuruka bila kutumia mafuta.
Ndege hiyo inayotumia mwanga wa jua kuruka, kwa ndani ina ukubwa
sawa na gari la familia na marubani hao wamesema wanataka kuthibitisha
kuwa ndege hiyo inaweza kubeba abiria na kuruka umbali mrefu bila
nyongeza ya mafuta.
Ndege hiyo inatarajiwa kumalizia safari yake pale ilipoanzia, ABUDHABI.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment