Polisi jijini
Mwanza wanatumia mabomu ya machozi kuwatawanya waombolezaji waliojikusanya
mjini misungwi kupinga Polisi kumpiga Magata Salum aliyekufa leo.
Hali hiyo
inafuatia pale ambapo watu hao walipokuwa wamejikusanya kwa kile walichodai
kuwa ni kupeleka mwili wa Magata kituo cha polisi wakidai amekufa kwa kupigwa
na polisi,ambapo Jeshi la polisi mkoani humo lilisema uchunguzi unaendelea.>>Tutakujuza tupatapo taarifa zaidi
0 comments:
Post a Comment