Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea kufanywa na baadhi ya
majirani wa eneo ilipo nyumba hiyo,huku wakiendelea kukisubiria kikosi cha
Zimamoto.
Baadhi ya majirani wakitoa pole kwa familiya
iliyoathirika na janga hili
Nyumba ikiendelea kuteketea kwa moto mapema leo katika eneo
la Soweto jijini Mbeya,Chanzo cha moto huo hakikuweza kufahamika mara
moja.Picha na Fadhiri Atick Mr.Pengo,Mbeya.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment