Serikali imesema ukosefu wa mbinu
madhubuti za kilimo,kukosekana kwa wataalam katika sekta hiyo na ukosefu wa
ajira kwa vijana ni miongoni kati ya sababu ambazo zimefanya Tanzania kuwa
maskini.
Waziri ofisi ya Rais uratibu na mahusiano
Dr.Mary Nagu wakati akijibu swali la mbunge wa jimbo la Tarime Nyambari
Nyangwine aliyeuliza kwa nini Tanzania ni maskini ilhali ina rasilimali nyingi.
0 comments:
Post a Comment